MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2316; Mchango Wako Ni Kupitia Kazi Yako…
2316; Mchango Wako Ni Kupitia Kazi Yako… Kila mtu ana ndoto ya kuifanya dunia kuwa sehemu bora kabisa ya kuishi kwake na kwa watu wengine. Kila mtu anapenda kuwasaidia wale wenye uhitaji kwenye maisha. Lakini wengi huvurugwa katika kutekeleza mipango hiyo. Wengi huhangaika na mambo yasiyo sahihi katika kutimiza malengo