MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KIKWAZO NI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI…
Kutokufanikiwa kwako hakutokani na kukosa rasilimali, bali kunatokana na matumizi mabaya ya rasilimali ambazo tayari unazo. Mfano rasilimali kubwa kabisa ni muda na nguvu zako. Kila siku una masaa yale yale 24, kama hufanikiwi siyo kwa sababu umepunjwa muda, ila kwa sababu unautumia vibaya, kwa mambo yasiyo na tija. Kadhalika