MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2317; Kukimbiza Kipepeo…
2317; Kukimbiza Kipepeo… Kutafuta furaha kwenye maisha ni sawa na kumkimbiza kipepeo. Kadiri unavyomkaribia ndivyo anavyozidi kukimbia zaidi. Lakini usipomkimbilia kipepeo, ukiwa ‘bize’ na mambo yako mengine, unashangaa kipepeo anakufuata mwenyewe. Ukifanya kitu kwa sababu unategemea kupata furaha unaishia kutokuipata furaha, hata kama umekikamilisha inavyopaswa. Lakini unapokuwa ‘bize’ kufanya kitu