MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HEKIMA NA UPUMBAVU….
Hekima na upumbavu ni vile vile tangu enzi na enzi, hakuna kipya kwenye hayo. Mabadiliko yapo kwa namna vinatumika kwenye enzi husika. Wenye hekima wamekuwa wanafanya mambo yale yale huku wapumbavu pia wakifanya yale yale. Huna haja ya kuja na hekima au upumbavu mpya, angalia tu namna wengine wamekuwa wanaishi