2324; Maarifa Na Hekima…

By | May 12, 2021
2324; Maarifa Na Hekima… Huwezi kuwa na hekima bila ya kuwa na maarifa, lakini unaweza kuwa na maarifa usiwe na hekima. Maarifa ni kujua vitu vingi, hekima ni kujua jinsi ya kutumia maarifa hayo. Maarifa unayapata, ila hekima unaishi. Maarifa yanakusanywa, ila hekima inanolewa. Unaweza kuyapoteza maarifa lakini hekima inadumu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz