MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; EPUKA HUU MTEGO…
Kuna watu falsafa yao ya kutafuta fedha ni wanachoangalia ni kama fursa inaingiza fedha, hawajali fedha hizo zinapatikanaje, wao kama kitu kina faida wanafanya. Watu hawa hujikuta wananasa kwenye fursa ambazo zinaingiza faida kubwa siyo kwa sababu zina thamani ambayo watu wananufaika nayo, bali kwa sababu zina uhaba. Kwa uhaba