MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; VIASHIRIA VIKO WAZI…
Huwa tunawalalamikia watu kwamba wamebadilika, wakati tunaanza nao mahusiano au ushirikiano walikuwa namna fulani ila baadaye tunaona wamebadilika na kuwa kikwazo. Ukweli ni kwamba watu siyo wamebadilika, bali wameonesha uhalisia wao, wamekuwa hawawezi tena kuendelea kuficha uhalisia wao. Lakini tangu awali, kuna viashiria ambavyo watu walikuwa wanatuonesha ambapo kama tungevizingatia,