MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2328; Vyanzo viwili vya msongo…
2328; Vyanzo viwili vya msongo… Huwa tunapatwa na msongo au kwa lugha nyingine kuvurugwa pale nambo yanapokwenda tofauti na tulivyotegemea. Ni rahisi kuona kilichosababisha msongo kwako ni kile kilichotokea. Lakini hiyo siyo kweli. Kinachokusababishia msongo ni namna unavyopokea kile kilichotokea. Kwa wengi hupokea kwa aina mbili na hizo ndiyo huwa