MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MATANGAZO SIYO MASOKO…
Watu wengi hudhani kutangaza biashara ndiyo kufanya masoko. Matangazo ni sehemu ya masoko ila siyo sehemu pekee. Masoko ni mfumo wa kuifanya biashara ijulikane na wateja, washawishike kununua na waendelee kuiamini biashara hata baada ya kununua. Masoko yanahusisha kila eneo la biashara kuanzia kwenye kuandaa bidhaa au huduma, kutengeneza hadithi