MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAUMIVU NA MATESO…
Maumivu ni sehemu ya kawaida kwenye maisha yetu hapa duniani. Mambo huwa hayaendi kama tunavyotaka sisi na hilo huleta maumivu. Lakini mateso kwenye maisha ni kitu ambacho mtu unakichagua mwenyewe. Unachagua mateso pale unapokataa kukubaliana na ilichotokea na ambacho kipo nje ya uwezo wako au unapolazimisha kitu kiende unavyotaka wewe.