MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2331; Hupati Unachostahili, Bali Unachovumilia…
2331; Hupati Unachostahili, Bali Unachovumilia… Huo ndiyo ukweli wa maisha, wanachokupa wengine siyo kile unachkstahili, bali ambacho unakipokea, kukikubali na kukivumilia. Kujiamini kwako ndiyo kunakuwekea viwango vyako. Kama hujiamini na uko tayari kupokea viwango vya chini, hivyo ndiyo wengine watakupa. Kama unajiamini na unakubali viwango vya juu pekee ndivyo utapewa