MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2333; Ili Kubaki Hapo Ulipo…
2333; Ili Kubaki Hapo Ulipo… Dunia inakwenda kasi sana, Kama unataka kubaki hapo ulipo, lazima uende na kasi ya dunia. Na kama unataka kwenda zaidi ya ulipo sasa, lazima uizidi kasi ya dunia. Kwenye maisha hakuna kusimama, kuna kwenda mbele au kurudi nyuma. Kubali hapo ulipo ni kuchagua kurudi nyuma