MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; IPE AKILI MAZOEZI…
Moja ya nadharia ya mageuzi (evolution) ni kwamba kiungo cha mwili kinachotumiwa sana kinakuwa imara na kile kisichotumiwa kinakuwa dhoofu. Ndiyo maana kama unatumia sana mkono wa kulia, unakuwa na nguvu kuliko wa kushoto. Kadhalika ndivyo ilivyo kwenye akili, ukiitumia sana inakuwa imara, usipoitumia inakuwa dhoofu. Akili dhoofu haiwezi kufanya