MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; POTEZA ILI USHINDE…
Maisha ni kama ligi ya mpira, timu inayochukua kombe siyo inayoshinda michezo yake yote, bali inayoshinda michezo iliyo mingi, tena ile ya muhimu. Kwa kujua hilo, ili timu ishinde inapaswa kujipanga na kujua michezo ipi lazima ishinde na ipi hata ikishindwa siyo mbaya, hilo linasaidia timu ipangilie rasilimali zake vizuri.