MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuingiza kipato kupitia uandishi wa
Mawazo 10 ya kuingiza kipato kupitia uandishi wa vitabu. Huwa nasema kila mtu ni kitabu kinachotembea. Maisha uliyoishi mpaka sasa kuna mengi umejifunza na kupitia ambayo ukiweka kwenye maandishi wengine wanaweza kukifunza pia. Pamoja na uandishi kuwa njia ya kushirikisha uzoefu wako kwa wengine, pia ni njia ya kuingiza kipato.