MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2337; Adui Mkuu Kwenye Vita Ya Maisha Yako…
2337; Adui Mkuu Kwenye Vita Ya Maisha Yako… Maisha ni vita na adui mkuu unayepambana naye ni muda. Japo mwisho adui huyo atashinda, kwa kuwa utakufa, ushindi wako ni jinsi utakavyokuwa umetumia muda wako ukiwa hai. Nguvu kuu ya adui huyo ni msimamo, haangalii wewe unafanya nini, yeye anafanya yake