MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2338; Maisha Kama Kombolela…
2338; Maisha Kama Kombolela… Kama unaukumbuka mchezo wa kombolela, una siri kubwa sana ya mafanikio kwenye maisha. Japo hatukuwa tunajua funzo lililo kwenye mchezo huo wakati tunacheza. Katika kucheza mchezo huo, kama wewr ndiye unayewatafuta wengine, kwanza lazima uwajue wote wanaoshiriki kwenye mchezo. Ukishawajua, lazima uwe na viashiria vya wapi