MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAISHA YA USHINDI….
Kupata ushindi kwenye maisha yako kazana kulata ushindi kwenye siku zako. Kazana kuiishi kila siku kwa ushindi kwa kuwa na vipaumbele sahihi na kuvifanyia kazi hivyo. Kila siku hakikisha kuna kitu unafanya ambacho ni cha ushindi na kumbukumbu yake itaendelea kuwepo. Huwezi kuwa na maisha ya ushindi kama unazipoteza siku