MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNALISHA NINI AKILI YAKO….
Hebu fikiria umekaa mwezi mzima bila kula chakula kabisa, mwili wako utakuwa katika hali gani? Vipi ukikaa mwezi mzima bila kuoga kabisa? Hutafikisha hata mwezi, mwili utakuwa umeharibika kabisa. Sasa pata picha ni kwa kiasi gani unaharibu akili yako kwa kutokuilisha chakula sahihi. Matokeo ya mwili yanaonekana haraka kwa sababu