MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; MAHALI PA KUPATA USHAURI MZURI…
Umekuwa unahangaika sana kutafuta ushauri kwa watu wasiojua chochote kuhusu wewe na unachofanya, wakati yupo anayekujua vizuri na kuweza kukushauri vyema kabisa.Sauti iliyo ndani yako ni mshauri mzuri kwako, sauti hiyo inakujua wewe tangu unazaliwa, inakumbuka kila ambacho umewahi kupitia na inajua nini kizuri kwako.Sauti hiyo imekuwa inajaribu kuwasiliana na