MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2341; Visingizio ni vingi, sababu ni moja…
2341; Visingizio ni vingi, sababu ni moja… Muulize mtu yeyote kwa nini hajaanza kuziishi ndoto kubwa alizonazo na majibu huwa ni yale yale kwa wato wote; Sina muda, nimebanwa sana. Sina fedha, kipato hakitoshi. Sina ujuzi, sikupata elimu sahihi. Sina ‘koneksheni’, sijazungukwa na watu sahihi. Majibu hayo yanaweza kuonekana kama