MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KINACHOKUZUIA KUISHI NDOTO ZAKO…
Kila mmoja wetu ana ndoto kubwa sana anazotamani kuziishi kwenye maisha yake. Lakini wengi hawaishi ndoto zao, huku wakijipa visingizio mbalimbali wakati sababu ya kweli ni moja, wanakosa ujasiri wa kuziishi ndoto hizo. Kwa kuwa kuishi ndoto kunakutaka uwe wa tofauti, bila ujasiri hutaliweza hilo. Ujasiri unatokana na kujua unachotaka,