MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; ITUMIE HII NGUVU YA MIUJIZA…
Kusoma ni nguvu ya miujiza inayoweza kuyabadili sana maisha yako. Kusoma kunakujengea mtazamo sahihi, kunaimarisha uwezo wako wa kufikiri na kufanya maamuzi na kukupa utulivu mkubwa. Kusoma pia kunaiwezesha akili yako kusafiri kwenda maeneo mbalimbali na nyakati mbalimbali hivyo kukupa uzoefu mbalimbali. Kumbuka kauli inayosema wapumbavu huwa hawajifunzi, wajinga hujifunza