MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2344; Chanzo Cha Chuki…
2344; Chanzo Cha Chuki… Waambie watu unataka tu ufanye kazi na upate pesa ya kula chakula na kuendesha maisha ya kawaida na watakubaliana na wewe na kukupenda pia. Waambie watu hao hao kwamba unataka kuwa tajiri mkubwa, uwe na uhuru wa kifedha na kuishi vile unavyotaka, watu hao watakuchukia na