MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; WENYE CHUKI WAPUUZE…
Huwa tunapenda kupendwa na kukubalika na kila mtu. Lakini hata tufanyenye, kuna watu wanachagua tu kutuchukia. Hasa pale unapochagua kuyaishi maisha yako na kufanya makubwa, wengi hawatafurahishwa na hilo. Lakini wajibu wako siyo kumfurahisha kila mtu, bali kuyaishi maisha yako. Chagua kuyaishi maisha yako na wapuuze wale wanaokuchukua kwa wewe