MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2347; Muda sahihi wa kufanya kitu kikubwa…
2347; Muda sahihi wa kufanya kitu kikubwa… Haujawahi kuwepo, Hakuna wakati utakaosema uko tayari kufanya kitu ambacho ni kikubwa. Kila wakati utaona unahitajika kusubiri zaidi kwa sababu muda bado haujawa sahihi. Iwe ni kuanzisha biashara, kubadili kazi au kuanza mradi wowote mkubwa, utaona bado muda haujawa sahihi. Hupaswi kuruhusu hili