MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNAPATA UNACHOTAFUTA…
Kama unatafuta sababu za kutokufanya kitu, utazipata nyingi tu. Na kama unatafuta njia ya kufanya kitu, utazipata za kutosha. Akili yako ina uwezo mkubwa wa kuvuta kwako kile unachotaka. Hivyo kama hujapata unachotaka, hebu anza kwa kuangalia akili yako inatafuta nini zaidi na utagundua kila ulichonacho sasa ndiyo akili yako