MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2350; Uhalisia hauna mbwembwe…
2350; Uhalisia hauna mbwembwe… Angalia kipindi cha mapishi kwenye tv au mtandaoni. Kisha nenda kapike kwa hatua zote ulizojifunza kwenye kipindi hicho. Matokeo ya mwisho hayatakuwa kama unayoona kwenye tv. Kuna mahali utakosea tu, hata kama ni kidogo kiasi gani, labda ni chumvi utazidisha au kupunja, au mafuta yasitoshe au