MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2352; Wanaokukosoa Wanakusaidia…
2352; Wanaokukosoa Wanakusaidia… Huwa hatupendi watu watukusoe au kutukatisha tamaa kwenye yale makubwa tunayoamua kufanya. Tunaona siyo sawa kwa watu kuchagua kutushambulia wakati tunachofanya kinaweza kuwa na manufaa makubwa kwa wengi. Lakini kama ambavyo tumekuwa tunashirikishana, huwa kuna upande mzuri wa kila jambo. Hata kama kitu unakiona ni kibaya au