MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; VIKUFANYE KUWA IMARA ZAIDI…
Hakuna siku maisha yako yatakosa vikwazo na changamoto mbalimbali. Hivyo ni vitu vitakuandama katika kipindi cha uhai wako. Hivyo njia pekee ya kuwa na maisha ya mafanikio na yenye utulivu, ni kutumia kila kikwazo na changamoto kuwa imara zaidi, kuwa bora zaidi baada ya changamoto kuliko ulivyokuwa kabla. Usizikimbie changamoto