MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA MAISHA YA MAJARIBIO….
Watu wengi huendesha maisha yao kama vile bado wapo kwenye majaribio au mazoezi ya kuja kuishi maisha yenyewe. Kila wakati wanaahirisha kuishi, wakiwa shule wanajiambia wataanza kuishi wakihitimu na kupata kazi. Wakipata kazi wanajiambia wataanza kuishi wakistaafu. Wakistaafu wanajikuta wameshachelewa na wanakufa. Maisha yako ndiyo hayo unayoyaishi sasa, hakuna siku