MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2355; Utapiamlo Wa Akili…
2355; Utapiamlo Wa Akili… Watu wengi hasa kwenye zama hizi wana utapiamlo wa akili. Kama ilivyo kwamba usipoulisha mwili vizuri unapata utapiamlo wa mwili, ndivyo pia usipoilisha akili vizuri unapata utapiamlo wa akili. Ili kuondokana na utapiamlo wa akili, unapaswa kuilisha akili yako kilicho sahihi. Unapaswa kuwa na dayati maalumu