MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; PAMBANA MPAKA UFIKIE LENGO…
Ukishajiwekea lengo, kinachofuata ni wewe kupambana mpaka ulifikie lengo hilo. Usipoteze nguvu zako kwenye kujishawishi kulibadili lengo kwa sababu unaona huwezi kulifikia. Badili mikakati na njia unazotumia, lakini usibadili lengo. Hata kama huoni namna ya kulifikia lengo, wewe amini kwenye lengo lako na kaa kwenye mchakato. Tathmini kila hatua unazochukua