MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2358; Fanya kwa ubora au usifanye kabisa…
2358; Fanya kwa ubora au usifanye kabisa… Una nafasi moja tu ya kuishi. Kila siku inayoisha ni siku unayoipunguza kwenye maisha yako, hutaweza kuipata tena. Kwa ukomo huo mkubwa ulionao, unapaswa kuwa makini sana na matumizi ya siku zako. Chochote unachochagua kufanya, kifanye kwa ubora wa hali ya juu kabisa.