MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; JINSI UNAVYOYAHARIBU MAISHA YAKO…
Unachagua mwenyewe kuyaharibu maisha yako kwa namna unavyochagua kuyaishi. Kila unachofanya kwenye eneo lolote la maisha yako, kinaathiri kila eneo la maisha yako. Ukifanya kazi yako hovyo, maisha yako yanakuwa hovyo. Ukiwa na mahusiano yasiyo mazuri, maisha yako yanaathirika pia. Unapaswa kujiwekea viwango vya juu kabisa kwenye kila unachofanya na