MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Photo from Kocha Dr Makirita Amani
Hakuna kitu chenye gharama kubwa kwako kama usumbufu unaokuzunguka. Huwezi kuona gharama hiyo haraka kwa sababu akili yako inapata raha kirahisi. Ni baada ya muda mrefu ndiyo unakuja kugundua umekuwa unafanya kazi za kawaida na zisizo na ubunifu. Kutaka kwako kujua kila kinachoendelea kumepunguza umakini wako kwenye yale unayofanya na