MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2361; Kama Bado Unajiuliza, Jibu Ni Hapana…
2361; Kama Bado Unajiuliza, Jibu Ni Hapana… Kama bado unajiuliza kama una furaha au la, jibu liko wazi, huna furaha. Wenye furaha hawapotezi muda kujiuliza kama wana furaha au la, bali wanayafurahia maisha yao. Kama bado unajiuliza kama mtu anakupenda au la, jibu unalo, hakupendi. Upendo ukiwepo huwa uko wazi