MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UKIWA NACHO UTAJUA…
Ukiwa na furaha utajua, huhitaji kujiuliza mara mbilimbili kama una furaha au la. Ukifanikiwa utajua, huhitaji kujihoji kama umefanikiwa. Mambo yote muhimu kwenye maisha, unayajua wazi kama unayo au la na kama bado unajiuliza, basi jibu ni huna. Tafakari ni maswali gani umekuwa unajiuliza mara kwa mara, jua nini unakosa