MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; FURAHIA CHANGAMOTO…
Wakati wengine wanazichukoa na kuzikimbia changamoto, wewe unapaswa kuzifurahia na kuzikaribisha, kwa sababu ndani yake huwa zina fursa nzuri za ukuaji zaidi kwako. Hutaweza kuziona fursa hizo nzuri kama utaona changamoto ni mbaya. Hivyo anza na mtazamo kwamba changamoto ni nzuri kisha jiulize ni fursa zipi nzuri zilizo ndani ya