MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNAHAKIKISHAJE UNAUPATA UKWELI…
Ukweli mara nyingi huwa unaumiza na wengi wanaokujali hawapo tayari kukuumiza, hivyo wanaweza kuuona ukweli ila wasikuambie. Watu wakishagundua hupendi ukweli unaokuumiza, wanakulisha uongo, ili tu ujisikie vizuri. Lakini uongo huo haukusaidii zaidi ya kukupoteza. Unachohitaji sana ni kuujua ukweli, hata kama unakuumiza, maana huo ndiyo unaokuweka huru. Tafuta watu