MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2368; Uhuru Siyo Rahisi…
2368; Uhuru Siyo Rahisi… Watu huwa wanapenda kuzungumzia uhuru, kueleza jinsi wanavyotaka kuwa na uhuru zaidi kwenye maisha yao. Lakini ukweli ni kwamba, uhuru siyo rahisi. Kwanza siyo rahisi kuupata. Na pili siyo rahisi kuutunza. Kuupata uhuru ni vigumu kwa sababu hakuna atakayekuwa tayari kukuacha uwe huru, unahitaji kupambana kweli