MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2370; Nje Na Ndani…
2370; Nje Na Ndani… Kwa kila unachofanya, kuna namna mbili za kukiangalia. Kukiangalia kwa nje na kukiangalia kwa ndani. Unakiangalia kitu kwa ndani pale unapofuatilia kila kinachofanyika kwa undani kwenye kitu hicho. Hapo unajali mambo madogo madogo yanayokijenga kitu hicho. Unakiangalia kitu kwa nje pale unapoangalia picha kubwa unayotaka kufikia