MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; KUFANYA MAAMUZI SAHIHI KWAKO…
Ili uweze kufanya maamuzi sahihi kwako, unapaswa kuondoa kila aina ya ushawishi wa watu wengine. Kuna kampeni za makusudi kabisa zinazoendeshwa na wengine ili kukushawishi wewe ufanye maamuzi ya aina fulani. Maamuzi hayo unayoshawishiwa kufanya yanakuwa na manufaa kwa watu wengine. Ili ufanikiwe, lazima uweze kufanya maamuzi yako mwenyewe. Kufanya