MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa kuuza nguo
Mawazo 10 ya kuingiza fedha kwa kuuza nguo mtandaoni. Mavazi ni mahitaji ya msingi ya watu. Kwa zama tunazoishi sasa, huhitaji kuwa na duka ndiyo uweze kuingia kwenye biashara hii. Unaweza kuuza kwa njia ya mtandao na kutengeneza kipato. Hapa kuna mawazo kumi ya kuingiza fedha kwa kuuza nguo mtandaoni.