MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; USIRIDHIKE…
Adui mkubwa wa mafanikio na maendeleo ni kuridhika na kile ambacho mtu ameshapata. Ugunduzi na hatua zote ambazo tumepiga kama wanadamu, ni kwa sababu watu hawakuridhika na kile walichokuwa nacho, japo kilikuwa bora. Iphone ya kwanza kutengenezwa yalikuwa mapinduzi makubwa mno, kila mtu alipenda namna teknolojia ilivyopiga hatua. Leo kuna