MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2374; Mrejesho Ni Zawadi…
2374; Mrejesho Ni Zawadi… Huwa kuna kauli kwamba zawadi ni zawadi, hakuna ndogo wala kubwa. Ukipewa zawadi unapaswa kushukuru. Moja ya zawadi ambayo mtu yeyote anaweza kukupa ni mrejesho kwenye kile unachofanya. Unapompata mtu anayeelewa kile unachofanya, na akawa tayari kukupa mrejesho kwenye kile unachofanya, hiyo ni zawadi ya kipekee.