MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; TUMIA VIZURI KILA UNACHOKUTANA NACHO…
Kila kitu unachokutana nacho kwenye maisha, ni rasilimali muhimu kwako kufika kule unakotaka kufika. Usikipoteze wala kukitumia vibaya, badala yake kitumie kwa manufaa. Matumizi mazuri ya kitu ni kujiuliza namna ya kukitumia ili kufika kule unakotaka kufika. Matumizi mabaya ya kitu ni kulaumu au kulalamika kwa kukutana nacho. Kila unachokutana