MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2375; Ni Mapendekezo, Siyo Amri…
2375; Ni Mapendekezo, Siyo Amri… Mawazo mengi yanayokuja kwenye akili yako huwa ni mapendekezo na siyo amri. Ni maoni na siyo ukweli. Akili yako ni kiwanda cha kuchakata mawazo ya kila aina. Na huwa yanabadilika kulingana na hali na mazingira yanavyobadilika. Mfano unaweza kuwa umepanga jukumu muhimu la kufanya, lakini