MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#TAFAKARI YA LEO; UNATAKA KUJISIKIA VIZURI AU KUWA BORA?
Ukitaka kujisikia vizuri, sikiliza uongo, maana huo unakubembeleza na haukuumizi. Ukitaka kuwa bora sikiliza ukweli, huo hakubembelezi na unakuumiza. Walio wengi wanapenda kubembelezwa na kutokuumizwa, ndiyo maana hawapigi hatua kwenye maisha yao. Ni wachache sana walio tayari kuukabili ukweli unaowaumiza na usiowabembeleza, lakini unawafanya kuwa bora zaidi. Kama unataka kufanikiwa,