MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2377; Mwenza Wa Uhuru…
2377; Mwenza Wa Uhuru… Wengi wanapenda sana wawe huru, Ila wasichojua ni kwamba hakuna uhuru wa bure. Uhuru huwa unaambatana na mwenza wake ambaye ni wajibu. Kadiri unavyokuwa na uhuru mkubwa, ndivyo pia unavyokuwa na wajibu mkubwa. Ukiwa na uhuru wa kifedha unawajibika kuweza kuzalisha, kutunza na kukuza fedha zako